Karibu katika blog ya G4D TZ REAL. Tangaza nasi biashara,matangazo,kazi na muziki wako hapa kwa bei nafuu sana wasiliana nasi kwa simu no. 0625910376 au WhatsApp no. 0755317537 Asante

Jumamosi, 24 Juni 2017

Tazama Video : Msanii Wa Tanzania Rayvanny Ajinyakulia Tuzo Za BET, Video Hapa


Staa wa Bongo Flava, Rayvanny kutoka WCB ameshinda tuzo ya BET kipengele cha Viewers Choice Best New International Act Artist.
Alichokiandika Diamond Platnumz baada ya Rayvanny kushinda tuzo ya BET 2017 kama ‘Hatimaye leo Unakuja nayo Tanzania Dah! 😭….Zaidi ya miaka mi 3 tunaenda na kurudi Patupu….Hakika Maisha Uvumilivu na kutokata tamaa…. BRING IT HOME BOSS!!! @babutale
THE BET Viewers Choice Best New International Act 2017 !!!!!!!!!!!!!
WOOOOOOOOOYOOOOOOOO!!!!!!!….. Nikishindwa kwa Mkono wa Kulia, ntatumia hata Mkono wa Kushoto…..ila lazma ifike @Wcb_Wasafi TANZANIA!!!! Chkua hiyo😛 #Wcb_Wasafi #WinningTeam!’
 Tazama Video Hapa Chini 

HIZI NYINGINE

Tazama Video : Msanii Wa Tanzania Rayvanny Ajinyakulia Tuzo Za BET, Video Hapa
4/ 5
Oleh

Subscribe via email

Like the post above? Please subscribe to the latest posts directly via email.